Jinsi ya Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
Je! Unajua ni nani anayeweza kuingia katika ufalme wa Mungu? Tunawezaje kuingia katika ufalme Wake? Soma sehemu hii kuyapata majibu.
Tunawakaribisha watafutaji wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu!
Kuokolewa ni nini? Kupata wokovu kamili ni nini? Ingawa dhambi za mwanadamu zimesamehewa, yeye bado hutenda dhambi mara kwa mara na hajatakaswa. Je, amepata wokovu kamili? Je, anaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni? Soma hapa ili kupata njia ya wokovu kamili na ufalme.
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Je! Unajua ni nani anayeweza kuingia katika ufalme wa Mungu? Tunawezaje kuingia katika ufalme Wake? Soma sehemu hii kuyapata majibu.
Bwana Yesu amekuja tena katika mwili, naye ni Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho. Je! Unajua ni kwanini Mungu anakuwa mwili tena katika siku za mwisho kumwokoa mwanadamu? Bonyeza kujifunza zaidi.
Bwana Yesu anarudi aje? Hili ni swali muhimu kwa wote wanaotamani kuonekana kwake. Soma sehemu hii ili ujifunze kuhusu njia mbili za Bwana...
Unabii wa Biblia wa kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu umetimia. Je, umemkaribisha Bwana? Je, unatamani kunyakuliwa kabla ya maafa?