Mwokozi Amerudi Tayari Juu
Unabii wa Biblia wa kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu umetimia. Je, umemkaribisha Bwana? Je, unatamani kunyakuliwa kabla ya maafa?
Tunawakaribisha watafutaji wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu!
Ingawa dhambi zetu zimesamehewa kwa sababu ya imani yetu katika Bwana, tunatenda dhambi kila wakati—Je! Tunaweza kweli kuingia katika ufalme wa mbinguni? Je! Tunawezaje kufunguliwa kutoka kwa dhambi na kutakaswa? Angalia ukurasa huu ili upate njia ya kusafishwa na kuokolewa kikamilifu.
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Unabii wa Biblia wa kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu umetimia. Je, umemkaribisha Bwana? Je, unatamani kunyakuliwa kabla ya maafa?
Bwana Yesu anarudi aje? Hili ni swali muhimu kwa wote wanaotamani kuonekana kwake. Soma sehemu hii ili ujifunze kuhusu njia mbili za Bwana...
Bwana tayari amekuja kwa siri kabla ya majanga ili kufanya washindaji. Tunawezaje kunyakuliwa kabla ya majanga? Tafuta njia hapa.
Kuokolewa ni nini? Kupata wokovu kamili ni nini? Ingawa dhambi za mwanadamu zimesamehewa, yeye bado hutenda dhambi mara kwa mara na...