Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

05/08/2018

Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari. Alifikiri kuwa kwa kufuata imani yake kwa jinsi hii, Bwana atakaporudi bila shaka atanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Wakati Yu Fan, ili kutimiza ndoto yake nzuri, alihubiri na kumtumikia Bwana kwa ari, watumishi wenzake waliibua swali gumu: Ingawa dhambi zetu waumini zimesamehewa, ingawa tunaacha kila kitu na kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, bado tunafichua uovu wetu mara kwa mara, bado tunatenda dhambi na kumpinga Bwana. Mungu ni mtakatifu, hivyo watu waovu kama sisi tunawezaje kamwe kufaa kusifiwa na Yeye? Je, tuna sifa za kuingia katika ufalme wa mbinguni? Hili halikumtia moyo Yu Fan kulitafakari hata kidogo, hadi alipojadiliana na wahubiri kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kisha, Yu Fan aliweza kuelewa mafumbo ya kunyakuliwa. Hatimaye aliweza kuamka kutoka kwa ndoto yake, na kuwa na imani thabiti kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mwokozi aliyemsubiri kwa muda mrefu, Bwana Yesu.

Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:

NASA

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp