Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?

Dondoo za Filamu   418  

Utambulisho

Mungu mwenyewe hutoa ushuhuda kwa kila mtu Anayemteua na kumtumia. Angalau, wote hupokea uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu, huonyesha matunda ya kazi ya Roho Mtakatifu, na wanaweza kuwasaidia watu wa Mungu waliochaguliwa kupokea utoaji wa maisha na uchungaji wa kweli. Kwa sababu Mungu ni mwenye haki na mtakatifu, kila mtu Anayemteua na kumtumia lazima alingane na mapenzi ya Mungu. Wachungaji na wazee wa kanisa katika kutoka ulimwengu wa kidini hawana neno la Mungu kama ushuhuda, na pia hawana uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu. Hivyo, wachungaji na wazee wa kanisa ndani ya ulimwengu wa kidini wangewezaje kuchaguliwa na kutumiwa na Mungu binafsi?