Kipindi 04, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Shuhuda za Wakristo Katika Kanisa la Uhispania—Ukweli Huwaweka Watu Huru
10/07/2026
Wakristo kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Uhispania wamesikia matamshi ya Roho wa ukweli. Wamepata riziki endelevu ya ukweli kutoka kwa Mungu, wakapata silaha yenye nguvu zaidi ya kumshinda Shetani, na wakapata njia ya uhuru kutoka kwa utumwa na mateso yake. Wametoka katika maumivu, usaliti, na uchungu waliowahi kuteseka. Mioyo yao ina amani, nuru, uhuru, na imekombolewa, nao wanaishi katika nuru!
00:10 Maelezo ya Mwenyeji
02:44 Mwanahabari Eneo la Tukio
04:40 Onyesho la Densi: "Ufalme wa Kristo Umetokea"
05:58 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu: "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"
14:55 Ushuhuda wa Kupitia wa Ely
20:57 Ushuhuda wa Kupitia wa Maria
24:22 Ushuhuda wa Kupitia wa Cristhian
40:29 Kuimba Wimbo wa Sifa: "Nisingekuwa Nimeokolewa na Mungu"
41:46 Mahojiano ya Papo kwa Papo
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video