Kipindi 05, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Wakristo Katika Kanisa la Seoul Wakishiriki Yaliyowapata—Ni Kwa Kuelewa Ukweli Tu Unaweza Kufanya Maamuzi Sahihi
10/07/2026
Wakristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu jijini Seoul, Korea Kusini, wanaweza kusita, kuhisi udhaifu, na kupitia uchungu wanapokabiliwa na maamuzi. Lakini kwa kutafuta ukweli kwa dhati, walipata njia ya utendaji ya kutatua matatizo haya. Chini ya mwongozo wa maneno ya Mungu, walielewa ukweli, wakapata upambanuzi, wakafanya maamuzi sahihi, na wakawa imara zaidi na wenye imani kubwa zaidi.
00:10 Maelezo ya Mwenyeji
03:15 Mwanahabari Eneo la Tukio
04:37 Nyimbo na Densi za Sifa na Kuabudu
06:39 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu: "Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele"
12:10 Ushuhuda wa Kupitia wa Lee Hyoshim
21:57 Kuimba Wimbo wa Sifa: "Ee Mungu, Tutakutamani Milele"
22:43 Ushuhuda wa Kupitia wa Kim Youngshim
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video