Filamu za Kikristo | Ni Watu wa Aina Gani Wanaoweza Kuingia Katika Ufalme wa Mungu? (Dondoo Teule)

27/04/2018

Ni mtu wa aina gani atanyakuliwa katika ufalme wa mbinguni? “Lakini yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni” (Mathayo 7:21). Lakini watu wengine wanaamini kuwa kuyafuata mapenzi ya Baba wa mbinguni kunamaanisha tu kuwa mwaminifu kwa jina la Bwana, kumtumikia kwa bidii, na kuvumilia mateso ya kubeba msalaba, na kuwa tukifanya vitu hivi, tunapaswa tu kukesha na kungoja hivi kwa kurudi mara ya pili kwa Bwana ili kunyakuliwa katika ufalme wa mbinguni. Je, mawazo haya yanapatana na mahitaji ya Bwana? Video hii fupi itakujulisha.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp