Filamu za Kikristo | Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi (Dondoo Teule)

27/08/2018

Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: “Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa juu ya wingu, lakini kuna unabii mwingine katika Biblia unaosema: “Tazama, mimi nakuja kama mwizi(Ufunuo 16:15). “Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha(Mathayo 25:6). Ni wazi kwamba kunao unabii kwamba Bwana atakuja kwa siri mbali na ule unabii kwamba Atakuja waziwazi akiwa juu ya wingu. Hivyo ukweli ni upi kuhusu kurudi Kwake?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp