Full Christian Movie Based on a True Story | Mimi ni Mtu Mwema!

29/05/2020

Yang Huixin, Mkristo, amekuwa akipenda kuwa mtu mzuri tangu alipokuwa mdogo. Hapendi kuwakosea wengine. Anajiamini kuwa mtu mzuri kwa sababu yeye ni mwema na huridhiana na wengine. Lakini ni baada tu ya yeye kukubali injili ya Mungu ya siku za mwisho na kupitia hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mungu ndipo anazinduka, na kugundua kwamba yeye si mtu mzuri wa kweli. Badala yake, yeye huishi kulingana na falsafa za shetani, na ni “jamaa mzuri” mwenye ubinafsi, mwenye ujanja sana. Anaazimia moyoni mwake kutafuta ukweli na kuwa mtu mzuri ambaye ni mwaminifu na mwadilifu .... Je, Yang Huixin alipitia uzoefu gani ambao ulimruhusu apitie mabadiliko kama hayo?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp