Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

"Kubisha Hodi Mlangoni" (1) - Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana

Dondoo za Video   20  

Utambulisho

Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu, na mimi Ninawajua, nao hunifuata" (Yohana 10:27). Pia imetabiriwa mara nyingi katika Ufunuo, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa." Sauti na maneno ya Roho ni sauti ya Bwana, na ni kondoo wa Mungu mbao watatambua sauti ya Mungu. Ni tendo gani, basi, lililo muhimu kwa Wakristo wanapoukaribisha ujio wa Bwana?