Filamu za Kikristo | Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu? (Dondoo Teule)

16/03/2018

Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha Mungu." Dhana hizi zilikuwa kwa muda mrefu zimeunda msingi wa imani yake. Zilikuwa zimekita mizizi ndani ya moyo wake na zilikuwa zimekuwa kikwazo kwa kujifunza kwake njia ya kweli na pia utumwa uliomzuia kukubali njia ya kweli. Wahubiri wa Kanisa la Mwenyezi Mungu waliposoma kwa subira kwa Mzee Li kuhusu neno la Mungu na kufanya ushirika naye kuhusu ukweli, hatimaye alielewa kuwa si Biblia yote iliyotiwa msukumo na Mungu, lakini ina maneno ya Mungu na maneno ya mwanadamu . Mzee Li sasa alikuwa huru kutoka kwa utumwa na pingu za dhana hizi za kidini.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp