Filamu za Kikristo | Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? (Dondoo Teule)

14/05/2018

Kwa kuwa wale walio na imani katika jina la Bwana Yesu tayari wameokolewa, basi kwa nini Mungu lazima afanye kazi ya hukumu katika siku za mwisho ili kutakasa na kuwaokoa wanadamu? Video hii itakupa jibu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp