Filamu za Kikristo | Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo (Dondoo Teule)

14/05/2018

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani. Je, hakika ukweli uko hivi? Bwana Yesu alipokuja kufanya kazi Yake wakati huo, je, wale walioiacha hekalu na kumfuata Bwana Yesu hawakushutumiwa pia na Mafarisayo Wayahudi kwa njia hii kuwa wanasaliti Yehova Mungu? Hivyo, je, kukubali kazi mpya ya Mungu ni kuasi imani na kumsaliti Mungu? Au ni kuambatana na nyayo za Mwanakondoo na kupata wokovu wa Mungu? Tutaangazia masuala haya pamoja katika video hii fupi.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp