Filamu za Kikristo | Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia? (Dondoo Teule)

27/08/2018

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliahidi, "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Watu wengi wanasadiki kwamba Bwana alirudi mbinguni, hivyo ni yakini kwamba Anatutayarishia mahali sisi kule mbinguni. Je, ufahamu huu unaenda sambamba na maneno ya Bwana? Je, ni mafumbo yapi yanapatikana kwenye ahadi hii?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp