“Kuamka Kutoka kwa Ndoto” – Njia ya Pekee ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni | Video za Kikristo (Movie Clip 4/4)

“Kuamka Kutoka kwa Ndoto” – Njia ya Pekee ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni | Video za Kikristo (Movie Clip 4/4)

1166 |09/08/2018

Tazama Kamili

Tukimwamini Bwana Yesu tu, na kutetea njia ya Bwana Yesu, lakini tukose kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya hukumu katika siku za mwisho, tunawezaje kupokea utakaso na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Je, unataka kuwa mwanamwali mwerevu ambaye anaweza kufuata nyayo za Mungu ili kupokea baraka katika ufalme wa mbinguni? Tafadhali tazama filamu hii.

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi