Full Christian Movie Based on a True Story | Utiaji Kasumba ya Kikomunisti Nyumbani

02/08/2020

Mkristo Mchina, Zheng Yi na dada yake, wameikubali injili ya Mungu ya siku za mwisho, lakini wanakabiliwa na kizuizi kikubwa na kushurutisha kwa baba yao ambaye ni waziri katika Idara ya Kazi Muungano wa Vyama ya manispaa—hili linasababisha vita vikali sana vya kiroho katika familia. Zheng Yi na dada yake wanatumia maneno ya Mwenyezi Mungu kukanusha uongo na uvumi wa serikali ya CCP mmoja mmoja, lakini kutokana na kukata tamaa kwa hasira, baba yao kwa ukatili anawafukuza mwanawe wa kiume, bintiye na mke wake kutoka nyumbani ili kuhifadhi cheo chake rasmi…. Kaka na dada kwa ushupavu wanachagua kumfuata Kristo; wanaendelea kueneza na kushuhudia kuonekana kwa Mungu na kufanya kazi katika siku za mwisho.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp