Filamu za Kikristo | Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho (Dondoo Teule)

07/08/2018

Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukweli nchini China na anafanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu. Alishinda na kuokoa kundi la watu, na wao ndio ambao wamepata njia ya uzima wa milele. Je, unataka kujua jinsi ambavyo wamepitia hukumu na kuadibiwa kwa Mungu? Je, unataka kujua ni mabadiliko gani ambayo wamepitia kwa kupitia hukumu na kuadibu kwa Mungu? Unaweza kusikia kutoka kwao ukiitazama hii video fupi.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp