Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

2020 Swahili Christian Movie Trailer | Kwenye Misheni

Mfululizo wa Filamu za Injili   490  

Utambulisho

2020 Swahili Christian Movie Trailer | Kwenye Misheni


Mkristo Chen Yixin amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa na bahati ya kutosha kukaribisha kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwishoMwenyezi Mungu! Alikuja kuelewa mapenzi ya Mungu ya haraka ya kuwaokoa wanadamu kutoka kwa maneno ya Mwenyezi Mungu pamoja na misheni na wajibu ambao kiumbe aliyeumbwa anapaswa kutekeleza, hivyo alianza kushiriki injili na kushuhudia kazi ya Mungu katika siku za mwisho. Huku akifanya hivi anasafiri kwenye miji mingi na mikoa na anapitia ukandamizaji na kukataliwa toka miongoni mwa watu wa dini tena na tena na pia ufuatiliaji na mateso ya serikali ya CCP. Anavumilia mateso mengi. Hata hivyo, chini ya uongozo wa maneno ya Mungu, anasalia katika msheni yake, bila kuogopa hatari, kwa ujasiri akisonga mbele ...

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu