Mchezo wa Kuigiza wa Kikristo | Kupita Katika Mawimbi

04/09/2020

Zhang Hong'en ambaye wakati mmoja alikuwa mhubiri katika kanisa la nyumbani, alikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho miaka mitano iliyopita. Siku moja, anagundua kuwa Luo Tao, ambaye alifanya kazi naye katika siku za zamani, amefukuzwa kanisani kwa kufanya uovu na kumpinga Mungu. Anachanganyikiwa: Luo Tao amekuwa muumini kwa miaka mingi, aliiacha familia yake na kujitumia kwa ajili ya Mungu na hakumsaliti Mungu hata alipokamatwa na kufungwa gerezani. Je, mtu kama huyo anawezaje kuitwa mwovu na kufukuzwa? Je, Mungu huamuaje ikiwa mtu ni mwema au mwovu? Je, Mungu humwokoa nani, Anamwondoa nani, na ni nani anayeweza kupata wokovu kamili na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Kuchanganyikiwa kwa Zhang Hong’en kunatatatuliwaje mwishowe? Tazama Kupita Katika Hali Ngumu upate kujua.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp