Wimbo wa Injili | Mungu Anatamani Watu Zaidi Wapokee Wokovu Wake (Music Video) | Sauti za Sifa 2026

18/01/2026

1

Mungu Anatumaini kwamba watu wengi zaidi wataweza kufanya uchunguzi wa makini mbele ya maneno na kazi ya Mungu, na kuuchukulia ujumbe huu muhimu kwa dhati na uchaji Mungu. Anatumaini kwamba hawatafuata nyayo za wale wanaoadhibiwa, na hata zaidi, kwamba hawatakuwa kama Paulo, ambaye alijua wazi njia ya kweli lakini aliikaidi kimakusudi, na akapoteza sadaka ya dhambi. Mungu hataki watu zaidi waadhibiwe, lakini badala yake Anatumai kuwa watu zaidi wataokolewa, na kuwa watu zaidi wawe kasi sawa na hatua Zake na kuingia katika ufalme Wake.

2

Mungu humtendea kila mtu kwa haki; haijalishi una umri gani, au una ukuu wa kiasi gani, au hata umepitia mateso kiasi gani, tabia ya Mungu ya haki haitabadilika kamwe kwa sababu ya mambo haya. Mungu hamthamini mtu yeyote sana, wala haonyeshi upendeleo kwa mtu yeyote. Mtazamo Wake kwa watu unategemea kama wanaweza kuacha kila kitu ili kuukubali ukweli na kazi Yake mpya au la. Ikiwa wewe unaweza kuikubali kazi Yake mpya na kuukubali ukweli Anaouonyesha, basi utaweza kupata wokovu wa Mungu.

kutoka katika Mifano Wakilishi ya Adhabu kwa Sababu ya Kumkaidi Mwenyezi Mungu. Hitimisho

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp