417 Mungu Humpa Mwanadamu Anachohitaji Kupitia Kilio Chake

1 Baada ya Mungu kuwaumba wanadamu na kuwapa roho, Aliwaagiza kwamba ikiwa hawangemwita Mungu, basi hawangeweza kuunganishwa na Roho Wake na hivyo “televisheni ya setilaiti” kutoka mbinguni haingepokelewa duniani. Wakati Mungu hayupo tena katika roho za watu kuna kiti kitupu kinachoachwa wazi kwa ajili ya vitu vingine, na hivyo ndivyo Shetani anavyotwaa fursa hiyo kuingia ndani. Wakati watu wanapowasiliana na Mungu kwa mioyo yao, Shetani huingia katika hofu kubwa na huharakisha kuhepa.

2 Kupitia wa vilio vya wanadamu Mungu huwapa kile wanachohitaji, lakini “Hakai” ndani yao kwanza. Yeye daima huwapa tu msaada kwa sababu ya vilio vyao na watu hupata ujasiri kutoka kwa nguvu hizo za ndani ili Shetani asithubutu kuja hapa “kucheza” apendavyo. Kwa njia hii, ikiwa watu daima wanaunganishwa na Roho wa Mungu, Shetani hathubutu kuja kuvuruga. Bila vurugu ya Shetani, maisha yote ya watu ni ya kawaida na Mungu ana fursa ya kufanya kazi ndani yao bila vizuizi vyovyote. Kwa njia hii, kile Mungu anataka kufanya kinaweza kutimizwa kupitia kwa wanadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 17” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 416 Maombi ya Kweli

Inayofuata: 418 Umuhumi wa Maombi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp