Hukumu Yaanza na Nyumba ya Mungu
Chaguzi zilizo katika kitabu hiki zote ni maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho, zilizochukuliwa hasa kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili, Vol 1, Kuonekana na Kazi ya Mungu. Ni ukweli ambao kila mtu anayetafuta na kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho anahitaji kupata kwa haraka sana. Maonyesho ya Mungu katika kitabu hiki ni yale ambayo Roho Mtakatifu anayanena kwa makanisa kama ilivyotabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo. Maneno haya ya sasa ya Mungu ni ushuhuda bora wa kuonekana Kwake na kazi Yake, na vile vile ushuhuda bora wa ukweli kwamba Kristo ndiye ukweli, njia na uzima. Kitabu hiki kinanuiwa kuwawezesha wale wote wanaotamani kuonekana kwa Mungu waisikie sauti Yake haraka iwezekanavyo. Tunatumaini kwamba wote wanaosubiri kuja kwa Bwana na wanaotazamia kuonekana kwa Mungu na kazi Yake wataweza kusoma kitabu hiki.
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho
1Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 1
2Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 2
3Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 3
4Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 5
5Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 15
6Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 88
7Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 103
8Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 4
9Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 5
10Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 6
11Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 8
12Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 10
14Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 12
16Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 26
17Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 29
18Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini
19Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu
20Njia ya Huduma ya Kidini Lazima Ipigwe Marufuku
21Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
22Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa
24Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu
25Kuhusu Mungu Kumtumia Mwanadamu
28Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo Ni Mungu Mwenyewe
30Je, Kazi ya Mungu Ni Rahisi Kama Vile Mwanadamu Anavyodhania?
31Unapaswa Kuishi kwa Ajili ya Ukweli kwa Maana Unamwamini Mungu
32Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni
33Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Mwenye Mwili na Watu Wanaotumiwa na Mungu
34Katika Imani, Mtu Lazima Alenge Ukweli—Kujihusisha na Kaida za Dini Sio Imani
35Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Ndio Wanaoweza Kumhudumia Mungu
36Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Ufuate Nyayo Zake
37Mungu Anawakamilisha Wale Wanaoupendeza Moyo Wake
38Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watapatwa na Mungu
39Enzi ya Ufalme Ni Enzi ya Neno
40Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
41Wale Wanaopaswa Kukamilishwa Lazima Wapitie Usafishaji
42Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu
43Kumpenda Mungu tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
44Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”
45Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu
46Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
47Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
48Kazi ya Roho Mtakatifu na Kazi ya Shetani
49Onyo kwa Wale Wasiotenda Ukweli
50Je, Wewe ni Mtu Ambaye Amepata Uzima?
51Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu
52Watu Wote Wasiomjua Mungu Ni Watu Wanaompinga Mungu
60Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili
62Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (1)
63Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (3)
64Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (4)
65Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Baadaye?
66Ufahamu wako wa Baraka ni Upi?
67Ufahamu Wako Kumhusu Mungu Ni Upi?
70Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake, Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya
71Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku ya Ghadhabu
72Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
73Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia
75Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
76Unapaswa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo
77Kuhusu Majina na Utambulisho
78Mnapaswa Kuweka Pembeni Baraka za Hadhi na Kuelewa Mapenzi ya Mungu ya Kumletea Mwanadamu Wokovu
80Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu
81Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu Mwenye Mwili na Wajibu wa Mwanadamu
82Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote
83Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
84Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu
85Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
86Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
87Kiini cha Mwili Ulio na Mungu
88Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
89Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni
90Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu
91Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja
92Kufikia Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu, Mungu Atakuwa Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia
93Wale Ambao Hawalingani na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu
94Wengi Wanaitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa
95Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo
96Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?
97Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli
98Je, Ulikuwa Unajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu
99Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele
100Tayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako
104Dhambi Zitamwelekeza Mwanadamu Jahanamu
105Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu
106Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani
107Tatizo Zito Sana: Usaliti (1)
108Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)
109Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu
110Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu
111Kutanafusi kwa Mwenye Uweza
112Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya
113Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
114Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu
115Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake