Ushuhuda wa Uzoefu Mbele ya Kiti cha Hukumu cha Kristo

Juzuu ya I

Hukumu mbele ya kiti kikuu cheupe cha enzi ya siku za mwisho imeanza! Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, Ameonyesha ukweli ili kutekeleza kazi Yake ya kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu. Kupitia ufunuo na hukumu ya maneno ya Mungu, wateule Wake wanajua ukweli wa upotovu wao wa kishetani polepole na kupata njia ya kuutoroka ushawishi wa Shetani na kupata wokovu, na polepole wanaona mabadiliko katika tabia zao za maisha. Matukio haya halisi yanashuhudia kwamba kazi ya hukumu inayotekelezwa na Mwenyezi Mungu ni kazi ya kuwatakasa na kuwaokoa wanadamu kikamilifu.

Ushuhuda wa Uzoefu

Pakua

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp