Neno Laonekana katika Mwili Toleo La 1
Kuonekana na Kazi ya MunguMwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ambaye Ameonekana kufanya kazi Yake, anaonyesha ukweli wote ambao huwatakasa na kuwaokoa wanadamu, na wote umejumuishwa katika Neno Laonekana katika Mwili. Hili limetimiza kile kilichoandikwa katika Biblia: “Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana 1:1). Na kuhusu Neno Laonekana katika Mwili, hiyo pia ilikuwa mara ya kwanza Alipozungumza mengi hivyo, na kwa muda mrefu sana, kwa wanadamu wote. Ilikuwa ya kipekee kabisa. Na zaidi, matamshi haya yalikuwa maneno halisi ya kwanza yaliyoonyeshwa na Mungu miongoni mwa wanadamu ambapo Aliwafichua watu, akawaongoza, akawahukumu, na kuzungumza nao wazi wazi na kwa hiyo, pia, yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo kwayo Mungu aliwaruhusu watu wajue nyayo Zake, mahali Anapokaa, tabia ya Mungu, kile Mungu anacho na alicho, mawazo ya Mungu, na sikitiko Lake kwa wanadamu. Inaweza kusemwa kwamba haya yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo Mungu alikuwa amezungumza kwa wanadamu kutoka mbingu ya tatu tangu uumbaji, na mara ya kwanza ambapo Mungu alikuwa ametumia utambulisho Wake wa asili kuonekana na kuonyesha sauti Yake kwa wanadamu katikati ya maneno.
Neno Laonekana katika Mwili (linalofupishwa kama Neno), kilichoonenwa na Kristo wa Siku za Mwisho, Mwenyezi Mungu, kwa sasa kina buku sita: Buku la Kwanza, Kuonekana na Kazi ya Mungu; Buku la Pili, Kuhusu Kumjua Mungu; Buku la Tatu, Mihadhara ya Kristo wa Siku za Mwisho; Buku la Nne, Kuwafichua Wapinga Kristo; Buku la Tano, Majukumu ya Viongozi na Wafanyakazi; na Buku la Sita, Kuhusu Ufuatiliaji wa Ukweli.
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho
-
Sehemu ya Kwanza: Matamko ya Kristo Mwanzoni
Maneno ya Roho Mtakatifu kwa Makanisa (Februari 11, 1991 hadi Novemba 20, 1991)100Sura ya 100
101Sura ya 101
102Sura ya 102
103Sura ya 103
104Sura ya 104
105Sura ya 105
106Sura ya 106
107Sura ya 107
108Sura ya 108
109Sura ya 109
110Sura ya 110
111Sura ya 111
112Sura ya 112
113Sura ya 113
114Sura ya 114
115Sura ya 115
116Sura ya 116
117Sura ya 117
118Sura ya 118
119Sura ya 119
120Sura ya 120
-
Sehemu ya Pili: Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima
(Februari 20, 1992 hadi Juni 1, 1992) -
Kiambatisho: Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima
(Ufafanuzi wa Baadhi ya Sura) -
Sehemu ya Tatu: Maneno ya Kristo Alipokuwa Akitembea Makanisani
(Juni 1992 hadi Agosti 2014) -
Maneno ya Kristo Alipokuwa Akitembea Makanisani Ⅰ
(Juni 1992 hadi Oktoba 1992)9Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini
10Kwenye Hatua za Kazi ya Mungu
11Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu
12Njia ya Huduma ya Kidini Lazima Ipigwe Marufuku
13Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
14Ni Muhimu Sana Kuanzisha Uhusiano wa Kawaida na Mungu
15Maisha Ya Kawaida ya Kiroho Huwaongoza Watu Kwenye Njia Sahihi
16Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa
18Jinsi ya Kuingia Katika Hali ya Kawaida
19Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu
21Kuhusu Maisha ya Kawaida ya Kiroho
22Kujadili Maisha ya Kanisa na Maisha Halisi
23Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake
24Kuhusu Mungu Kumtumia Mwanadamu
25Punde Unapoelewa Ukweli, Unapaswa Kuuweka Katika Vitendo
26Mtu Anayepata Wokovu ni Yule Ambaye Yuko Tayari Kutenda Ukweli
27Kile Ambacho Mchungaji wa Kutosha Anapaswa Kujiandaa Nacho
31Uhusiano Wako na Mungu Ukoje?
33Kuzishika Amri na Kuutenda Ukweli
34Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo Ni Mungu Mwenyewe
35Kuuweka tu Ukweli Katika Matendo Ndiko Kuwa na Uhalisi
37Je, Kazi ya Mungu Ni Rahisi Kama Vile Mwanadamu Anavyodhania?
38Unapaswa Kuishi kwa Ajili ya Ukweli kwa Maana Unamwamini Mungu
39Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni
40Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Mwenye Mwili na Watu Wanaotumiwa na Mungu
41Epuka Ushawishi wa Giza na Utapatwa na Mungu
42Katika Imani, Mtu Lazima Alenge Ukweli—Kujihusisha na Kaida za Dini Sio Imani
43Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Ndio Wanaoweza Kumhudumia Mungu
44Upendo Halisi kwa Mungu ni wa Hiari
46Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Ufuate Nyayo Zake
47Wale Ambao Tabia Zao Imebadilika ni Wale Ambao Wameingia Katika Uhalisi wa Neno la Mungu
48Kuhusu Kuutuliza Moyo Wako Mbele ya Mungu
49Kuwa Mzingatifu wa Mapenzi ya Mungu ili Upate Utimilifu
50Mungu Anawakamilisha Wale Wanaoupendeza Moyo Wake
51Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watapatwa na Mungu
52Enzi ya Ufalme Ni Enzi ya Neno
53Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
54Wale Wanaompenda Mungu Kwa Kweli Ni Wale Wanaoweza Kutii Utendaji Wake Kabisa
55Wale Wanaopaswa Kukamilishwa Lazima Wapitie Usafishaji
56Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu
57Kumpenda Mungu tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
58Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”
59Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu
60Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
61Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kuwa na Upendo wa Kweli
62Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
63Ni Wale Wanaolenga Kutenda tu Ndio Wanaoweza Kukamilishwa
64Kazi ya Roho Mtakatifu na Kazi ya Shetani
65Onyo kwa Wale Wasiotenda Ukweli
66Unapaswa Kudumisha Ibada Yako kwa Mungu
67Je, Wewe ni Mtu Ambaye Amepata Uzima?
-
Maneno ya Kristo Alipokuwa Akitembea Makanisani II
(Novemba 1992 hadi Juni 1993)24Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili
29Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (1)
30Mbona Huna Hiari ya Kuwa Foili?
31Jinsi Athari za Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Zinavyotimizwa
32Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (2)
33Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (3)
34Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (4)
38Hudumu Jinsi Waisraeli Walivyohudumu
39Kuboresha Ubora wa Tabia ni Kwa Ajili ya Kupokea Wokovu wa Mungu
40Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
41Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu
-
Maneno ya Kristo Alipokuwa Akitembea Makanisani Ⅲ
(Julai 1993 hadi Machi 1994)1Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Baadaye?
2Kusudi la Kuwasimamia Binadamu
3Asili na Utambulisho wa Mwanadamu
4Utambulisho wa Asili wa Mwanadamu na Thamani Yake: Je, Viko Namna Gani?
5Wale Wasiojifunza na Wanaosalia Wajinga: Je, Wao Sio Wanyama?
6Watu Waliochaguliwa wa China Hawana Uwezo wa Kuwakilisha Kabila Lolote la Israeli
7Ufahamu wako wa Baraka ni Upi?
8Ufahamu Wako Kumhusu Mungu Ni Upi?
11Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake, Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya
12Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku ya Ghadhabu
13Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
14Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia
15Ninyi Nyote Ni Waovu Sana Katika Tabia!
17Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
18Maneno kwa Vijana na kwa Wazee
19Unapaswa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo
20Kuhusu Majina na Utambulisho
21Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana
22Mnapaswa Kuweka Pembeni Baraka za Hadhi na Kuelewa Mapenzi ya Mungu ya Kumletea Mwanadamu Wokovu
24Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu
25Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu Mwenye Mwili na Wajibu wa Mwanadamu
26Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote
27Msimamo Wako Kuhusu Nyaraka Kumi na Tatu ni Upi?
28Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
29Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu
30Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
31Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
32Kiini cha Mwili Ulio na Mungu
33Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
34Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni
35Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu
-
Maneno ya Kristo Alipokuwa Akitembea Makanisani Ⅳ
(1994 hadi 1997, 2003 hadi 2005)1Kufikia Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu, Mungu Atakuwa Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia
2Wale Ambao Hawalingani na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu
3Wengi Wanaitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa
4Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo
5Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?
6Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli
7Je, Ulikuwa Unajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu
8Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele
9Tayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako
13Dhambi Zitamwelekeza Mwanadamu Jahanamu
14Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu
15Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani
16Tatizo Zito Sana: Usaliti (1)
17Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)
18Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu
19Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu
21Amri Kumi za Utawala Ambazo Lazima Wateule wa Mungu katika Enzi ya Ufalme Wazitii
22Kiambatisho 1: Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya
23Kiambatisho 2: Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
24Kiambatisho 3: Mwanadamu Anaweza tu Kuokolewa Katikati ya Usimamizi wa Mungu
25Kiambatisho 4: Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake