Jinsi Nilivyomgeukia Mwenyezi Mungu Tena

Kila mtu anayemwamini Mungu ana hadithi maalumu kuhusu safari yake binafsi ya kurejea Kwake. Kitabu hiki kinashiriki mambo halisi waliyopitia wateule wa Mungu katika kupokea mwongozo kutoka kwa maneno ya Mwenyezi Mungu, wakiwa na uhakika kuhusu njia ya kweli, na kurudi mbele ya kiti Chake cha enzi. Wengine walijinasua kutokana na minyororo na shutuma za mawazo yao ya kidini, wengine walitoroka kuvurugika na kuteswa na nguvu za wapinga Kristo katika jamii za kidini na nguvu za uovu za Chama cha Kikomunisti cha China, na bado wengine walipata utambuzi kuhusu mienendo miovu ya ulimwengu. Mwishowe, wote walirudi mbele za Mungu.

Ushuhuda wa Uzoefu

Pakua

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp