293 Mungu Anatarajia Kuwa Binadamu Wataweza Kuendelea Kuishi

1

Mungu aliwachukia binadamu, kwani walimpinga.

lakini moyoni Mwake, kujali, kuhangaika na huruma Yake kwa binadamu havibadiliki.

Lakini Alipowaangamiza,

moyo Wake bado haukuwa umebadilika,

Binadamu walipokuwa wamejaa uchafu, walikaidi kiasi kwamba,

Mungu alilazimika kuwaangamiza kwa sababu ya kanuni na kiini Chake.

Lakini kwa sababu ya kiini cha Mungu bado Aliwahurumia binadamu, Akitaka kuwakomboa kwa njia tofauti.

ili waweze kuendelea kuishi.

Lakini kukataa wokovu wa Mungu, binadamu waliendelea kutotii.

na walikataa kukubali wokovu wa Mungu, yaani, walikataa kukubali nia Zake njema.

Haijalishi jinsi Mungu alivyoita na kuonya, jinsi Alivyotoa na kusaidia na kustahimili,

mwanadamu hakuelewa, mwanadamu hakuthamini, wala hakutilia maanani.


2

Katika uchungu Wake Mungu bado alitoa uvumilivu Wake mkuu, Akimngoja mwanadamu arudi.

Akifikia kikomo Chake, Alifanya kile ambacho ilimbidi Afanye.

Kutoka wakati ambapo Mungu alipanga kuangamiza hadi wakati Alipoanza mpango Wake,

ulikuwa muda wa mwanadamu kurudi.

Hii ilikuwa fursa ya mwisho ambayo Mungu alimpa mwanadamu.

Hii ilikuwa fursa ya mwisho, hii ilikuwa fursa ya mwisho ambayo Mungu alimpa mwanadamu.


Umetoholewa kutoka katika “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 292 Watu Hawajui Wokovu wa Mungu

Inayofuata: 294 Huruma ya Mungu Imemruhusu Mwanadamu Kusalia Hadi Leo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

760 Upendo Safi Bila Dosari

1Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari.Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza.Upendo hauweki masharti au...

137 Nitampenda Mungu Milele

1Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako.Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki