60 Mungu Yuko Mbinguni na Pia Duniani

1

Mungu ni wa utendaji moyoni mwa wanadamu, Anapokuwa duniani.

Mbinguni, Mungu ni Mtawala wa viumbe vyote.

Siku moja Mungu alisafiri juu ya milima na maji,

kwa upole Amewahi kutembea kati ya jamii ya binadamu.

Nani anathubutu kumpinga Mungu Mwenyewe wa matendo hadharani?

Nani anathubutu kujitoa kutoka kwa utawala wa Mwenyezi?

Nani anathubutu kusema Mungu yuko mbinguni bila shaka?

Na nani anathubutu kusema Mungu kwa kweli yuko duniani?

Hakuna mwanadamu anayeweza kusema kwa kweli kule Mungu aliko.

Hakuna mwanadamu anayeweza kwa hakika kusema kule Mungu aliko.

2

Anapokuwa mbinguni, je, Mungu ni Yule wa ajabu tu?

Anapokuwa duniani, je, Mungu ni Yule wa matendo tu?

Utawala wa Mungu juu ya vitu vyote, ama kuonja Kwake mateso ya mwanadamu,

Je, hili linaweza kuamua kama Mungu ni Mungu wa matendo?

Mungu yuko mbinguni, lakini pia yuko duniani.

Mungu yuko kati ya vitu vyote, na yuko kati ya wanadamu wote.

Wanadamu wanaweza kuwasiliana na Mungu kila siku,

na wanadamu wanaweza kumwona Mungu kila siku.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 15” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 59 Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

Inayofuata: 61 Kanuni za Kutafuta Njia ya Kweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki