Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

17. Mungu Aomboleza Siku za Usoni za Binadamu

Katika dunia hii kubwa ambayo imebadilika mara nyingi tangu kabla ya historia,

hakuna yeyote wa kumwongoza na kumwelekeza mwanadamu, hakuna yeyote ila Yeye anayetawala kila kitu.

Hakuna bwana mkuu anayefanya kazi na anatayarisha kwa ajili ya mahitaji ya binadamu huyu.

Hakuna anayeweza kuwaongoza katika siku za usoni zilizo na mwangaza,

wala kuwaweka huru kutoka kwa udhalimu wa dunia hii.

Mungu anaomboleza wakati ujao wa binadamu. Jinsi Yeye anavyoomboleza kuanguka kwao!

Ona huzuni Yake wanapokosa kujua kwamba wanatembea njia isiyo na kurudi nyuma.

Mwanadamu ameasi, ameuvunja moyo wa Mungu;

Njia ovu ya Shetani ambayo wamekanyaga kwa furaha.

Na hakuna yule ambaye amesimama ili kuona vizuri mahali ambapo mwanadamu ataenda mwishowe.

Nani basi anasimama na kuhisi hasira ya Mungu?

Nani anatafuta kumfurahisha na kuwa karibu na Yeye?

Yuko wapi yule anayeona huzuni ya Mungu ama anayejaribu kushika uchungu anayehisi Yeye?

Hata baada ya kusikia sauti Yake inayoitana,

Wanashikilia njia ambayo inawapotosha

kutoka kwa huruma, ukweli, na uangalizi wa Mungu;

kwa hiari, wanajiuza kwa Shetani.

Mungu anaomboleza wakati ujao wa binadamu. Jinsi Yeye anavyoomboleza kuanguka kwao!

Ona huzuni Yake wanapokosa kujua kwamba wanatembea njia isiyo na kurudi nyuma.

Mwanadamu ameasi, ameuvunja moyo wa Mungu;

Njia ovu ya Shetani ambayo wamekanyaga kwa furaha.

Na hakuna yule ambaye amesimama ili kuona vizuri mahali ambapo mwanadamu ataenda mwishowe.

Mungu basi Atatenda vipi kwa yule ambaye anayesimama kwa uasi na kumkataa Yeye?

Jua kwamba wito wa Mungu na ushauri unafuatwa

na janga kubwa na ngumu kuvumilia.

Haiadhibu tu mwili wa mwanadamu lakini roho pia.

Hakuna anayejua ni ghadhabu gani ambayo Mungu atatoa

mpango wake unapofanywa tupu na sauti Yake kupuuzwa;

ghadhabu ambayo mwanadamu hajawahi kuhisi ama kusikia.

Huu ni msiba wa pekee; Mungu amepanga uumbaji moja na wokovu.

Hii ni mara ya kwanza, na ya mwisho.

Hakuna anayeweza kuhisi na moyo wake

upendo wa Mungu uliohuzunika na hamu ya bidii ya kumwokoa mwanadamu.

Mungu anaomboleza wakati ujao wa binadamu. Jinsi Yeye anavyoomboleza kuanguka kwao!

Ona huzuni Yake wanapokosa kujua kwamba wanatembea njia isiyo na kurudi nyuma.

Mwanadamu ameasi, ameuvunja moyo wa Mungu;

Njia ovu ya Shetani ambayo wamekanyaga kwa furaha.

Na hakuna yule ambaye amesimama ili kuona vizuri mahali ambapo mwanadamu ataenda mwishowe,

mahali ambapo mwanadamu ataenda mwishowe.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

Inayofuata:Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Kuhusu Biblia (4)

  Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? …

 • Unajua Nini Kuhusu Imani?

  Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binada…