546 Mungu Huwapenda Wale Wanaofuatilia Ukweli

Mtazamo kuhusu maisha ambao mtu anapaswa kuwa nao ni kufuatilia kuwa mtu aliye na ukweli na ubinadamu, mtu aliye na dhamiri na mantiki na humwabudu Mungu—yaani, kuwa mtu wa kweli—huku ndiko kufuatilia kunakostahili kabisa. Ikiwa kutafutilia kwako kunategemea kile ambacho Mungu anataka ufanikishe na mwelekeo wako ni sahihi, basi hata ukienda mbali na makusudio kidogo, au kuwa dhaifu kidogo, au kushindwa kidogo, si jambo zito; Mungu hatalitambua, na Yeye atakusaidia daima. Mungu anapenda mtu wa aina gani? Mungu anapenda mtu anayefuatilia ukweli, aliye na azimio, na ni mwaminifu, hata kama hajui. Mungu haogopi wewe kutojua, kuwa dhaifu, au kukosa hekima. Kile Anachochukia ni wakati huna jambo la kufuatilia, wakati mtazamo wako juu ya maisha ni kama wa mtu wa kidunia na ufuatiliaji wako ni sawa na wa mnyama—katili, bila lengo au mwelekeo wa kufuatilia kwako maisha. Mungu huchukia aina hii ya mtazamo katika imani yako Kwake.

Umetoholewa kutoka katika “Nini Maana ya Mabadiliko Katika Tabia na Njia Kuelekea Mabadiliko Katika Tabia” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 545 Ishi Kulingana na Maneno ya Mungu Kubadili Tabia Yako

Inayofuata: 547 Mungu Awaokoa Wale Wanaopenda Ukweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp