880 Mungu Ampenda Mwanadamu na Majeraha

1 Na Hupitia kila aina ya kejeli, shutuma, hukumu, na lawama. Yeye pia hufuatwa na shetani na Anakataliwa na kupingwa na jamii za kidini. Hakuna mtu anayeweza fidia kwa ajili ya madhara haya katika moyo Wake! Yeye Huokoa binadamu mpotovu kwa njia ya uvumilivu uliokithiri; Anawapenda watu walio na moyo uliovilia. Hii ni kazi ya kuumiza zaidi. Upinzani mkali wa wanadamu, lawama na masingizio, mashtaka ya uongo, mateso na uwindaji wao na uchinjaji yanasababisha mwili wa Mungu kukumbwa na hatari kubwa katika kufanya kazi hii. Yeye huteseka na maumivu haya, bali nani anaweza kumwelewa na kumfariji?

2 Bwana Yesu alifanya kazi duniani na kuishi kwa miaka thelathini na tatu na nusu. Ni tu baada ya Yeye kusulubiwa, kufa na kufufuliwa na kuonekana kwa binadamu kwa siku arobaini ndipo Yeye Alifarijika, hivyo basi kumaliza miaka ya kuumia ya kuishi na binadamu. Hata hivyo, moyo wa Mungu daima umepata aina hii ya maumivu kutokana na kuwa na wasiwasi na hatima ya binadamu. Maumivu haya hayawezi kueleweka na mtu yeyote, wala hayawezi kustahimiliwa na mtu yeyote. Tangu mwanzo, yote ambayo kazi ya kupata mwili yamefichua ni upendo, kiini cha kazi Yake ni upendo; Yeye Amejitolea kwa yote, kila kitu Chake kwa binadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Upendo wa Kweli wa Mungu kwa Wanadamu” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 879 Ni Mungu tu Ampendaye Mwanadamu Zaidi

Inayofuata: 881 Mungu Apitia Maumivu Makubwa Kumwokoa Mwanadamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp