655 Kile Anachokamilisha Mungu ni Imani

1 Katika hatua hii ya kazi sisi tunatakiwa kuwa na imani kuu na upendo mkuu. Huenda tukajikwaa kutokana na uzembe kidogo kabisa kwa sababu hatua hii ya kazi ni tofauti na zile zote za awali. Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu—mtu hawezi kuiona au kuigusa. Kile ambacho Mungu anafanya ni kuyageuza maneno kuwa imani, kuwa upendo, na kuwa uzima. Watu lazima wafikie kiwango ambacho wamestahimili mamia ya kusafisha na wawe na imani iliyo kuu zaidi kuliko ya Ayubu. Wanatakiwa kustahimili taabu ya ajabu sana na aina zote za mateso bila kuondoka kwa Mungu wakati wowote. Wanapokuwa watiifu hadi kufa, na wawe na imani kuu katika Mungu, basi hatua hii ya kazi ya Mungu imetimizwa.

2 Lakini bado Ningependa kuwakumbusha ninyi kwamba kazi ya Mungu si rahisi kama mnavyoifikiria kuwa. Kadri isivyolingana na fikira za watu ndivyo umuhimu wake ulivyo wa kina, na kadri inavyolingana na fikira za watu, ndivyo isivyokuwa na thamani, na bila umuhimu halisi. Fikirieni maneno haya kwa makini. Kile ambacho Mungu anafanya ni kuyageuza maneno kuwa imani, kuwa upendo, na kuwa uzima. Watu lazima wafikie kiwango ambacho wamestahimili mamia ya kusafisha na wawe na imani iliyo kuu zaidi kuliko ya Ayubu. Wanatakiwa kustahimili taabu ya ajabu sana na aina zote za mateso bila kuondoka kwa Mungu wakati wowote. Wanapokuwa watiifu hadi kufa, na wawe na imani kuu katika Mungu, basi hatua hii ya kazi ya Mungu imetimizwa.

Umetoholewa kutoka katika “Njia … (8)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 654 Jinsi ya Kukubali Ukweli

Inayofuata: 656 Maumivu ya Majaribio ni Baraka Kutoka Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp