Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

38 Mamlaka na Nguvu Vinafichuliwa Katika Mwili

1

Mungu alikuja duniani hasa kutimiza ukweli,

ukweli wa “Neno kuwa mwili,” “Neno kuwa mwili.”

Yaani, maneno ya Mungu yanatoka kwa mwili,

maneno ya Mungu yanatoka kwa mwili

(tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,

Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).

Kisha, yote yatatimizwa katika enzi ya Ufalme wa Milenia

kuwa ukweli ambao, ukweli ambao watu wanaweza kuona,

ili watu waweze kuona utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe.

Hii ni maana ya kina ya Mungu, ya Mungu kuwa mwili.

Yaani, kazi ya Roho, ya Roho imekamilika

kupitia kwa mwili na neno, kupitia kwa mwili na neno.

Hii ni maana ya kweli ya “Neno kuwa mwili,

Neno kuonekana katika mwili, Neno kuonekana katika mwili.”

2

Ni Mungu tu Anayeweza kuzungumza mawazo ya Roho,

na ni Mungu tu katika mwili anayeweza kuzungumza kwa niaba ya Roho.

Neno la Mungu linaonekana katika Mungu aliyepata mwili.

Mtu yeyote yule ataongozwa na hili,

hakuna anayeweza kuzidi hili na kila mtu anaishi ndani ya mipaka hii.

Kutokana na tamko hili watu watapata ufahamu;

isipokuwa kupitia haya matamshi hakuna atakayeota kuhusu kupokea

tamko kutoka mbinguni.

Haya ni mamlaka ambayo yameonyeshwa na Mungu kuwa mwili,

yameonyeshwa na Mungu kuwa mwili,

ili kila mtu ashawishike,

ili kila mtu ashawishike.

Umetoholewa kutoka katika “Ufalme wa Milenia Umewasili” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele

Inayofuata:Mungu Mwenye Mwili Pekee Ndiye Awezaye Kumwokoa Mwanadamu Kikamilifu

Maudhui Yanayohusiana