1019 Mungu Anatengeneza Kesho Nzuri Zaidi kwa Binadamu

Ningetoa matunda Yangu ya thamani juu ya wale wakulima wa Kanaani ambao ni wenye ari, na wanakaribisha kwa dhati kurudi Kwangu.

1 Ningetoa matunda Yangu ya thamani juu ya wale wakulima wa Kanaani ambao ni wenye ari, na wanakaribisha kwa dhati kurudi Kwangu. Napenda tu mbingu ziendelee milele, na, zaidi ya hayo, mwanadamu asizeeke kamwe, mbingu na mwanadamu viwe vitulivu daima, na ile “misonobari na mivinje” iliyo na rangi ya kijani daima iandamane na Mungu, na daima iandamane na mbingu katika kuingia kwenye enzi kamilifu pamoja.

2 Ninaweza tu kumuaga, na kumkabidhi hatima yake, na kumwachia mwanadamu utajiri Wangu wote, na kupanda maisha Yangu ndani yake, kupanda mbegu ya maisha Yangu ndani ya shamba la moyo wa mwanadamu, na kumwachia kumbukumbu za milele, Ninaweza kuacha tu upendo Wangu wote kwa binadamu, kumwachia yote ambayo mwanadamu anafurahia Kwangu.

3 Maana Nimejitoa kikamilifu kwa binadamu—ni malalamiko gani ambayo mwanadamu anaweza kuwa nayo? Tayari Nimeyaacha maisha Yangu yote kwa mwanadamu, na bila neno lolote, Nimetokwa jasho kwa kulima “ardhi nzuri ya upendo” kwa ajili ya binadamu; Sijafanya matakwa yoyote linganifu kwa mwanadamu, na Sijafanya chochote isipokuwa kujitiisha katika mipangilio ya mwanadamu na kutengeneza kesho nzuri zaidi ya binadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Kazi na Kuingia (10)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 1018 Ishara za Ushindi wa Mungu

Inayofuata: 1020 Watu Wote wa Mungu Hufungua Hisia Zao

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp