Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Tabia ya Mungu ni ya Juu na Tukufu

I

Furaha ya Mungu ni haki na mwangaza kuja katika dunia,

ni kuangamizwa kwa giza na uovu.

Furaha Yake ni kuleta mwangaza kwa binadamu, na uzuri katika maisha yao.

Furaha Yake ni haki; ni ishara ya vitu vyote vizuri,

na ishara ya heri njema, na ishara ya heri njema.

Ghadhabu ya Mungu ni kuwa vitu visivyo vya haki viko hapa kutesa binadamu,

kwamba giza na uovu vina nafsi yake,

na pia vitu vinavyofukuza ukweli,

na kwamba kuna vitu vinavyopinga mazuri.

Ghadhabu Yake ni ishara ya mwisho wa vitu vyote vibaya,

na hata zaidi ishara ya utakatifu Wake, ishara ya utakatifu Wake.

II

Anahuzunika kuwa binadamu, ambao Ana imani kwao, wako gizani,

kwamba kazi Yake kwa binadamu inakosa kufikia mapenzi Yake,

kwamba binadamu Wake wapendwa hawawezi wote kuishi katika mwangaza.

Anahisi huzuni kwa wale wasio na hatia kati ya binadamu,

kwa wale waaminifu ilhali vipofu kati yao,

kwa wale walio wazuri lakini bila imani.

Huzuni Yake ni ishara ya uzuri Wake,

ya rehema Yake, ya uzuri, na ukarimu.

III

Furaha Yake ni adui kushindwa, kuushinda moyo wa kweli wa mwanadamu,

nguvu za maadui Wake kutolewa, kuangamizwa,

na binadamu kuwa salama katika maisha mazuri na ya amani.

Furaha Yake iko mbali na furaha ya kawaida ya mwanadamu,

ni ladha ya kuvuna matunda zaidi ya furaha.

Furaha Yake ni ishara kuwa tangu sasa,

binadamu hatateseka tena, na ataingia katika dunia ya mwangaza.

Hisia za binadamu, kwa upande mwingine, zote zinainuka kwa ajili ya maslahi yake mwenyewe,

sio kwa ajili ya haki, mwanga, au kilicho cha kupendeza,

na sembuse kwa ajili ya neema iliyotolewa na Mbingu.

Hisia za binadamu ni za ubinafsi na ni za ulimwengu wa giza.

Hazipo kwa ajili ya utashi, sembuse kwa ajili ya mpango wa Mungu,

na hivyo mwanadamu na Mungu hawawezi kamwe kuzungumziwa kwa namna mmoja.

kutoka katika "Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa

Inayofuata:Lazima Binadamu Amwabudu Mungu ili Kuwa na Hatima Nzuri

Maudhui Yanayohusiana

 • Upendo Safi Bila Dosari

  I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, …

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  Ⅰ Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

  Ⅰ Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa mimi,…