330 Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

Katika dunia hii kubwa, ni nani amechunguzwa na Mimi binafsi? Ni nani ameyasikia maneno ya Roho Wangu mwenyewe? Watu wengi sana hututusa na kutafuta gizani; wengi sana huomba wakiwa kwenye shida; wengi sana, wakiwa na njaa na baridi, wengi sana wamefungwa na Shetani, ilhali wengi sana hawajui pa kugeukia, wengi sana hunisaliti wakiwa katika furaha, wengi sana hawana shukrani, na wengi sana ni waaminifu kwa njama danganyifu za Shetani. Nani kati yenu ni Ayubu? Nani ni Petro? Kwa nini Nimetaja mara kwa mara jina la Ayubu? Na mbona Nimemtaja Petro mara nyingi? Je, mmewahi kufahamu matumaini Yangu kwenu? Mnapaswa kuchukua muda zaidi kuwaza mambo ya aina hii.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 8” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 329 Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Inayofuata: 331 Ni Mapenzi ya Mungu kwa Wewe Kuishi Katika Mwili?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp