31 Hukumu ya Mungu kwa Mataifa na Watu Wote

Ufalme Wangu umefanikishwa kabisa na umekuja chini katika dunia kwa umma; hata zaidi hii inamaanisha kuwa hukumu Yangu imetokea kabisa.

1 Maafa yote yatatokea moja baada ya nyingine; mataifa yote na maeneo yote yatapitia maafa—tauni, njaa, mafuriko, ukame na matetemeko ya ardhi yatakuwa kila mahali. Maafa haya hayatokei tu sehemu moja au mbili, wala hayataisha kwa siku moja au mbili, lakini badala yake yataeneza juu ya eneo kubwa zaidi na zaidi, na maafa yatakuwa makali zaidi na zaidi. Wakati huu kila namna ya wadudu tauni watatokea kwa mfululizo, na tukio la watu kuwala watu litatokea kila mahali. Hii ni hukumu Yangu juu ya mataifa yote na watu.

2 Jina Langu lazima litandazwe katika pande zote na kila mahali, kwamba kila mtu alijue jina Langu takatifu na kunijua Mimi. Jina Langu litaenea nje katika mwamko wa maafa, na msipochunga mtapoteza sehemu inayopaswa kuwa yenu; je, hamuogopi? Jina Langu huenea kwa dini zote, na kila pembe za dunia, mataifa yote na madhehebu yote. Hii ni kazi Yangu inayofanywa kwa utaratibu, katika viungo vinavyohusiana kwa karibu, yote hutendeka kwa mipango Yangu ya busara. Ningependa tu muwe na uwezo wa kuendelea mbele kwa kila hatua, kwa karibu mkifuata nyayo Zangu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 65” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 30 Mafumbo Yote Yamefunuliwa

Inayofuata: 32 Mungu Anashuka Na Hukum

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp