860 Upendo wa Mungu kwa Binadamu ni wa Kweli na Halisi

Upendo wa Mungu kwa binadamu hasa umedhihirishwa katika kazi Yake wakati akiwa katika mwili, Yeye binafsi Akiwaokoa watu, Akizungumza uso kwa uso na watu, na kuishi miongoni mwa watu bila kuwa mbali nao hata kwa hatua moja, bila kujifanya, lakini akifanya kweli. Huwaokoa watu kwa kiasi kwamba Aliweza kuwa mwili na kupita miaka mingi ya maumivu pamoja na watu duniani, yote hii ni kwa sababu ya upendo Wake na huruma kwa binadamu. Upendo wa Mungu kwa binadamu hauna masharti au matakwa. Anapata nini kutoka kwa binadamu? Watu hawamchangamkii Mungu. Nani anaweza kumchukulia Mungu kama Mungu? Watu hata hawampatii Mungu faraja, hata leo hii Mungu hajapokea upendo wa kweli kutoka kwa watu. Mungu Anatoa bila ubinafsi na Anakimu bila ubinafsi.

Umetoholewa kutoka katika “Je, Unauelewa Upendo wa Mungu kwa Binadamu?” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 859 Upendo na Kiini cha Mungu ni Vikarimu

Inayofuata: 861 Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp