895 Mapenzi ya Mungu kwa Wanadamu Hayatabadilika Kamwe

1 Nimekuwapo humu ulimwenguni kwa miaka mingi lakini nani anijuaye? Si ajabu Nawaadibu watu. Inaonekana kwamba wao ndio vyombo vya kuweka mamlaka Yangu katika matumizi; inaonekana kwamba wao ni risasi kwenye bunduki Yangu ambazo, Nikishalipua, zote zitapotea. Hili ndilo wazo lao. Nimewaheshimu wanadamu daima; Sijawahi kuwanyonya kwa udhalimu au kuwafanyia biashara kama watumwa. Hii ni kwa sababu Siwezi kuwaacha, wala wao hawawezi kuniwacha Mimi. Hivyo basi, mshikamano wa kufa kupona umeundwa kati Yetu.

2 Daima Nimempenda mwanadamu. Ijapokuwa mwanadamu hajawahi kuwa mwenye upendo Kwangu, daima, ndio maana Naendelea kutumia juhudi kwao. Nawapenda watu kama hazina Yangu mwenyewe, maana wao ndio “rasilimali” ya usimamizi Wangu duniani; hivyo basi Sitawaangamiza kamwe. Mapenzi Yangu kwa wanadamu hayatabadilika. Je, wanaweza kusadiki kwa kweli katika kiapo Changu? Watawezaje kuniridhisha? Huu ndio wajibu wa wanadamu wote; hili ndilo “zoezi la nyumbani” Nililowaachia. Ni tumaini Langu kwamba wote watafanya bidii kulikamilisha.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 35” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 894 Mungu Huja Kati ya Wanadamu Kuwaokoa

Inayofuata: 896 Mungu Daima Anamsubiri Mwanadamu Kumrudia

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp