329 Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Katika nyakati za leo, watu hawajawahi kunithamini, Sina nafasi ndani ya mioyo yao. Je, wataweza kuonyesha upendo wa kweli Kwangu katika siku zijazo za mateso? Haki ya mwanadamu inabaki kitu bila umbo, kitu ambacho hakiwezi kuonekana wala kuguswa. Nitakacho ni moyo wa mwanadamu, kwa kuwa katika mwili wa mwanadamu moyo ndio wa thamani sana. Je, matendo Yangu hayafai kulipwa kwa moyo wa mwanadamu? Kwa nini watu hawanipi mioyo yao? Kwa nini daima huikumbatia kwa vifua vyao wenyewe, wasitake kuiwacha? Je, moyo wa mwanadamu unaweza kuhakikisha amani na furaha katika maisha yote ya watu? Kwa nini, wakati Ninapotaka vitu kutoka kwa watu, wao daima kiasi kidogo cha vumbi kutoka ardhini na kulirusha Kwangu? Je, huu ni mpango wa hila wa mwanadamu?

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 36” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 328 Watu Hawajampa Mungu Mioyo Yao Kabisa

Inayofuata: 330 Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp