13 Ufalme wa Mungu Umeonekana Duniani

1

Aa … aa … aa … aa … aa … aa … aa … aa ….

Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme aliye juu ya kiti cha enzi,

Anatawala juu ya ulimwengu mzima, ulimwengu mzima,

Akitazama mataifa yote na watu wote.

Utukufu wa Mungu unaangaza katika dunia nzima.

Katika mwisho wa ulimwengu, vyote vilivyo hai lazima vione,

maziwa, mito, bahari, dunia, milima,

viumbe vyote vilivyo hai vinafichuliwa katika mwanga wa uwepo wa Mungu wa kweli,

vikifufuliwa tena, kuamshwa kutoka ndotoni, vikichipuka kutoka mchangani!

Oh! Mungu pekee wa kweli akionekana mbele ya ulimwengu.

Nani ana ujasiri wa kukataa?

Wote wanatetemeka kwa hofu, wote wameshawishika kabisa, wakiendelea kuomba huruma.

Watu wote wanainama mbele Yake na ndimi zote zinamwabudu Yeye!

2

Kila mahali duniani, vitu vyote duniani,

havikomeshi kwamwe sifa zao kwa Mungu, havikomi kwamwe sifa zao Mungu.

Kwa sababu ya kuja kwa majira ya kuchipuka,

upepo unaopendeza ulio na joto unabeba mvua imara ya majira ya kuchipuka.

Mito ikiwa na viwimbi na kububujika, kama watu wote,

wenye furaha na huzuni, wakitoa machozi, machozi ya kujilaumu.

Mito, maziwa, mawimbi ya bahari, na mawimbi makubwa yote yanaimba,

yakilitukuza jina takatifu la Mungu wa kweli, jina Lake takatifu!

Oh! Sauti ya sifa yao, sauti ya sifa ni safi kabisa!

Vitu vilivyopotoshwa na Shetani zamani, vitu vilivyopotoshwa na Shetani zamani,

vyote vitafanywa upya, vyote vitafanywa upya,

vitafanywa upya na vitabadilishwa, vitaingia katika hali mpya …

3

Hii ni tarumbeta takatifu, tarumbeta takatifu imelia!

Sikiliza kwa makini: Jinsi sauti ilivyo tamu!

Tamko kutoka kwa kiti cha enzi!

Likitangazia mataifa yote na watu wote.

Wakati umefika. Ni mwisho wa siku za mwisho.

Mpango wa usimamizi wa Mungu umefika mwisho.

Ufalme wa Mungu umeonekana hadharani duniani.

Mataifa ya dunia yamegeuka kuwa ufalme wa Mungu.

Mataifa ya dunia yamegeuka kuwa ufalme wa Mungu.

Tarumbeta saba za Mungu zimelia kutoka katika kiti cha enzi.

Vitu vizuri na vya ajabu ilioje vitatendeka!

Mungu anatazama watu Wake kwa furaha; wanaweza kujua sauti Yake.

Kutoka katika kila nchi na kila mahali, watu wa Mungu wanakuja pamoja.

Ee! Watu hawakomi kusifu na kuruka, pamoja na Mungu wa kweli midomoni.

Wakimshuhudia Mungu wa kweli, wakishuhudia kwa dunia,

sauti zao za radi, kama sauti ya maji mengi.

Watu watamiminika katika ufalme wa Mungu, ufalme wa Mungu, ufalme wa Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 36” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 12 Utukufu wa Mungu Wang’aa Kutoka Mashariki

Inayofuata: 15 Saluti ya Ufalme Inaposikika

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

84 Umuhumi wa Maombi

1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki