103. Wakati wa Kuagana
I
Tumekuja pamoja, lakini sasa lazima twende.
Tutakapokutana tena, hatujui.
Usihisi upweke au uwe na wasiwasi, imba kwa furaha.
Dhaifu na wenye kudhibitiwa, hebu tuombeane.
Kushuhudia Mungu katika nchi ya Joka kubwa jekundu,
tuko katika hatari ya kutekwa wakati wowote.
Siku kwa siku, unapotimiza wajibu wako,
daima mtazamie na kumtegemea Mungu.
Bila kujali ugumu wa barabara,
Mungu daima Yuko pamoja nasi.
Kupitia majaribio na dhiki,
tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.
Eh~ eh~ eh~
II
Katika kushuhudia Mungu katika dunia hii ovu,
tunapaswa kujitunza vizuri kabisa.
Neno la Mungu hutufariji na kutuliwaza.
Kwa kuelewa ukweli, basi sisi tuna nguvu.
Bila kujali ugumu wa barabara,
Mungu daima Yuko pamoja nasi.
Kupitia majaribio na dhiki,
tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.
Bila kujali ugumu wa barabara,
Mungu daima Yuko pamoja nasi.
Kupitia majaribio na dhiki,
tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.
Eh~ Eh~ Eh~
III
Mtegemee Mungu, vuka kutoka gizani,
mapambazuko yaja mbele ya macho yetu.
Nimebaini kiini kibaya cha Shetani,
Joka kubwa jekundu ninalidharau sana.
Mgeuke Shetani, mpende na kumtii Mungu.
Majaribio hukamilisha imani na upendo wetu, na Mungu ametupata.
Tazamia wakati ufalme utakapofika.
Kule tutakutana tena na kuishi milele.
Bila kujali ugumu wa barabara,
Mungu daima Yuko pamoja nasi.
Kupitia majaribio na dhiki,
tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.
Bila kujali ugumu wa barabara,
Mungu daima Yuko pamoja nasi.
Kupitia majaribio na dhiki,
tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.
Eh~ (Bila kujali ugumu wa barabara,)
Eh~ eh~ (Mungu daima Yuko pamoja nasi.)
Eh~ (Kupitia majaribio na dhiki,)
Eh~ eh~ (tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.)
Eh~ (Bila kujali ugumu wa barabara,)
Eh~ eh~ (Mungu daima Yuko pamoja nasi.)
Eh~ (Kupitia majaribio na dhiki,)
Eh~ eh~ (tunajua utawala na mamlaka ya Mungu.)
Eh~ eh~ eh~