Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

3 Wimbo wa Ufalme (III) Watu Wote, Pigeni Kelele za Furaha!

1

Watu wote wanaona nuru tena katika nuru ya Mungu.

Watu wote wanafurahia mambo mema katika neno la Mungu.

Mungu anatoka Mashariki, na anatokea huko.

Mungu aangaza mwanga Wake wa kupendeza na mataifa yote yanaangaza.

Yote yanaangaza sana, na hakuna linalobaki katika giza.

Katika ufalme, watu na Mungu wanaishi katika furaha isiyo na mipaka.

Maji yanacheza ngoma kwa maisha ya watu yenye heri;

milima inafurahia na watu ukarimu wa Mungu.

Wanadumu wote wanafanya kazi kwa bidii, wakimtumikia Mungu kwa uaminifu.

Hakuna uasi tena, hakuna upinzani tena.

Mbingu na ardhi zinategemeana,

mwanadamu na Mungu wako karibu na wanahisi sana.

Maisha matamu sana kama asali.

Sasa ndio wakati, Mungu ameanza maisha Yake mbinguni.

Shetani hasumbui tena, watu wa Mungu wanapumzika katika ufalme Wake.

2

Katika ulimwengu, wateule wa Mungu wanaishi katika nuru ya utukufu wa Mungu.

Katika ufalme Wake, wanaishi maisha yao, na furaha isiyoweza kulinganishwa.

Sio maisha ya mtu na mwanadamu, bali maisha ya Mungu na watu Wake.

Watu wote, waliopotoka, walionja huzuni na furaha.

Sasa katika nuru ya Mungu, watakosaje kufurahi?

Wanawezaje kuachilia muda huu wa thamani?

Watu, imbeni na kucheza. Inua moyo wako, umpe Mungu.

Chezeni ngoma, mchezeeni Mungu.

Mungu huangaza furaha juu ya ulimwengu wote!

Miongoni mwa watu Wake, Mungu huonyesha uso Wake.

Mungu anasema kwa sauti! Mungu hupita mipaka ya ulimwengu!

Yeye amekuwa Mfalme. Yeye ameinuliwa miongoni mwa wote.

3

Watu wote wa Mungu wanamfuata Mungu, Anapotembea mbingu za samawati.

Wote wanakusanyika na mioyo yenye furaha. Sauti zinatetemesha mawingu.

Katika ulimwengu, hakuna tena ukungu, matope, au maji taka.

Watu watakatifu wa ulimwengu wanafichua uso wao chini ya ukaguzi wa Mungu.

Wao sio watu waliofunikwa katika uchafu, bali watakatifu wasafi kama lulu,

wapenzi wote wa Mungu, wote wafurahiwao na Mungu!

4

Uumbaji wote unafufuka. Watakatifu wote watumikia mbinguni.

Katika kumbatio la Mungu, hawalii au kuwa na wasiwasi,

wakijitolea kwa Mungu.

Wanarudi nyumbani kwa Mungu, katika nchi yao,

watampenda Mungu bila kukoma.

Hakuna maumivu tena. Hakuna machozi tena. Hakuna mwili tena pia.

Dunia inakoma kuwepo, lakini mbingu zinadumu.

Mungu anaonekana kwa wote, watu wote wanamsifu.

Maisha kama haya, uzuri kama huo, hautawahi kubadilika.

Haya ndiyo maisha katika ufalme.

Umetoholewa kutoka katika “Furahini, Ninyi Watu Wote!” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wimbo Wa Ufalme (II) Mungu Amekuja, Mungu Ni Mfalme

Inayofuata:Mwana wa Adamu Ameonekana Kwa Utukufu

Maudhui Yanayohusiana

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…

 • Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

  Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya…

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…