48 Ulimwengu Mzima ni Mpya Kabisa

Ndani ya ulimwengu, kila kitu huangaza kama kipya katika mwangaza wa utukufu Wangu, kikitoa kipengele chenye kufurahisha ambacho hufurahisha akili na kuinua roho za watu.

Ndani ya ufalme, si tu kwamba matamko hutoka kinywani Mwangu, lakini miguu Yangu inatembea kwa heshima kila mahali katika nchi zote. Kwa njia hii, Mimi Nimepata ushindi juu ya maeneo yote yasiyo safi na yenye uchafu sana, ili kwamba isiwe tu ni mbinguni inabadilika, lakini pia dunia iwe katika mchakato wa mabadiliko, ili ifanywe mpya muda mfupi baadaye. Ndani ya ulimwengu, kila kitu huangaza kama kipya katika mwangaza wa utukufu Wangu, kikitoa kipengele chenye kufurahisha ambacho hufurahisha akili na kuinua roho za watu, kana kwamba uko katika mbinguni iliyo zaidi ya mbingu, kama inavyodhaniwa katika fikira za binadamu, ambazo hazijanajisiwa na Shetani na zisizo na mashambulizi ya maadui wa nje. Juu ulimwenguni, nyota lukuki zinachukua maeneo yao mateule kwa amri Yangu, zikitoa mwanga wao kupitia sehemu za nyota katika wakati wa giza. Hakuna kiumbe hata mmoja anathubutu kuwa na mawazo ya ukaidi, na hivyo, kwa mujibu wa kiini cha amri za utawala Wangu, ulimwengu mzima umedhibitiwa vizuri na kwa utaratibu mzuri: Hakuna usumbufu umewahi kutokea, wala ulimwengu haujawahi kugawanyika.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 15” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 47 Ni Mwenyezi Mungu Pekee Aliye Uzima Uliofufuka wa Milele

Inayofuata: 49 Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp