127 Nataka Kuwa Mwandani wa Mungu

1

Ee Mungu! Moyo wangu unatamani sana kukuona.

Ingawa siwezi kuuona uso Wako,

moyo wangu unaomba na kusonga karibu na Wewe kila wakati,

nami napewa nuru na maneno Yako kila siku.

Najua maneno Yako ni ukweli na ni ya thamani sana,

kuishi mbele Yako ndiyo baraka yangu kuu zaidi.

Naona kuwa haki na utakatifu Wako unapendeza sana.

Ee Mungu! Nataka kuwa mwandani Wako.

2

Ee Mungu! Maneno Yako tu ndiyo yanayoweza kunibadilisha.

Maneno Yako yanafichua kuwa wanadamu wamepotoshwa kwa kina,

ni wenye kiburi na wenye kujidai, waliojawa tabia za kishetani.

Ninapoiona haki Yako, nainama na kukuabudu.

Ni haki na kuadibu Kwako ambavyo vimeniokoa.

Kamwe sitaishi tena kwa kufuata falsafa za kishetani.

Hukumu Yako ni baraka, ni upendo.

Napata ukweli na napendana na Wewe kutoka moyoni mwangu.

Ee Mungu! Ni Wewe unanitakasa na kuniokoa,

mimi ni mwasi na niliyepotoka.

Nina bahati ya kuweza kuwa na ushuhuda Kwako na kukutumikia Wewe leo;

hii ndiyo neema na upendo Wako mkuu.

Nataka kukupenda kwa kweli na kuwa mwandani Wako,

milele kukutukuza na kuwa na ushuhuda Kwako, na kukutumikia maisha yangu yote!

Iliyotangulia: 126 Wale Wampendao Mungu Wanaishi Katika Nuru

Inayofuata: 128 Nampenda Mungu Sana

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp