375 Unastahili Kweli Kuwa Mmoja wa Watu wa Mungu?

1 Nachukizwa na upotovu wa ukoo mzima wanadamu, lakini Nauonea imani unyonge wao. Vilevile Nashughulikia tabia ya zamani ya wanadamu. Kama mmoja wa watu Wangu katika Uchina, nyinyi si sehemu ya ukoo wa binadamu? Miongoni mwa watu Wangu wote, na miongoni mwa wanangu wote, yaani, miongoni mwa wale Niliowachagua kutoka kwa wanadamu wote, nyinyi ni wa kundi la chini zaidi. Kwa sababu hii, Nimegharamika kwa nguvu nyingi zaidi kwenu, na juhudi nyingi. Je, bado hamyathamini maisha ya baraka mnayofurahia leo? Je, bado mnafanya mioyo yenu kuwa migumu na kuasi dhidi Yangu na kuenenda katika mipangilio yenu wenyewe?

2 Isingekuwa kwa ajili ya huruma na upendo Wangu, binadamu wote wangekuwa wameshakuwa mateka wa Shetani na kugeuka kuwa “mafunda matamu” katika kinywa chake. Leo hii, miongoni mwa binadamu wote, wale wanaotumia rasilimali kwa dhati kwa ajili Yangu na wale wanaonipenda kwa dhati ni adimu sana kiasi cha kuwahesabu kwa vidole vya mkono mmoja. Yawezekana kuwa jina “watu Wangu” limekuwa miliki yenu binafsi? Je, dhamiri yako imeingia ubaridi? Je, unafaa kweli kuwa mtu Ninayehitaji? Kwa kutafakari kuhusu zamani, halafu sasa, ni nani kati yenu ameufurahisha moyo Wangu? Ni nani kati yenu ameonyesha kutaka kujihusisha kwa kweli kwa nia Zangu? Kama Mimi Singewazindua, bado msingeamka, lakini, mngeendelea kuwa kama mlioganda, na tena, kana kwamba katika hali ya kubumbwaa.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 13” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 374 Bado Hujapata Mengi Kutoka kwa Mungu?

Inayofuata: 376 Wale Wasiomtii Mungu Wanamsaliti

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp