Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

`

2. Njooni Zayuni Kwa Sifa

I

Njooni Zayuni kwa sifa. Makao ya Mungu tayari yameonekana.

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Nyote imbeni sifa za jina Lake takatifu; linaenea.

Mwenyezi Mungu! Mtawala wa ulimwengu, Kristo wa Mwisho, jua letu linalong’aa na kuangaza,

Ameinuka kutoka Mlima mkuu wa ulimwengu Zayuni. Mwenyezi Mungu!

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Sote tunakushangilia Wewe, tunaimba na kucheza.

Wewe kweli ndiwe Mwokozi wetu na Bwana wa ulimwengu.

II

Umetengeneza kikundi cha washindi na kukamilisha mpango wa Mungu wa usimamizi.

Wote lazima warudi katika mlima huu, kupiga magoti na kuomba mbele ya kiti Chako cha enzi!

Wewe ndiwe Mungu mmoja na wa pekee wa kweli; Wewe ni mtukufu na mwenye heshima.

Utukufu wote, sifa na mamlaka ni ya kiti Chako cha enzi!

Chanzo cha uzima kinatiririka kutoka kaika kiti cha enzi,

kikinyunyiza, kikiwalisha watu Wako, maisha yetu yanabadilika kila siku.

Mwanga mpya unatutia nuru na kutufuata, ukifichua mambo mapya kila wakati kumhusu Mungu.

Njooni Zayuni kwa sifa. Makao ya Mungu tayari yameonekana.

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Nyote imbeni sifa za jina Lake takatifu; linaenea.

Mwenyezi Mungu! Mtawala wa ulimwengu, Kristo wa Mwisho, jua letu linalong’aa na kuangaza,

Ameinuka kutoka Mlima mkuu wa ulimwengu Zayuni. Mwenyezi Mungu!

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Sote tunakushangilia Wewe, tunaimba na kucheza.

Wewe kweli ndiwe Mwokozi wetu na Bwana wa ulimwengu.

III

Hakikisha Mungu wa kweli kupitia kwa uzoefu.

Maneno ya Mungu bila kukoma yanatokea, yanaonekana ndani ya watu wanaostahili.

Kwa kweli tumebarikiwa!

Uso kwa uso na Mungu kila siku, tunawasiliana na Yeye katika kila jambo.

Acha Mungu aamue yote. Fikiria juu ya maneno ya Mungu.

Mioyo yetu yote iko kimya ndani ya Mungu.

Na hivyo tunakuja mbele ya Mungu, tukipokea mwangaza Wake mbele Yake.

Maisha yetu, matendo, maneno, na fikira vyote vina msingi katika neno la Mungu.

Kila wakati linatuambia mazuri kutoka kwa maaya.

Njooni Zayuni kwa sifa. Makao ya Mungu tayari yameonekana.

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Nyote imbeni sifa za jina Lake takatifu; linaenea.

Mwenyezi Mungu! Mtawala wa ulimwengu, Kristo wa Mwisho, jua letu linalong’aa na kuangaza,

Ameinuka kutoka Mlima mkuu wa ulimwengu Zayuni. Mwenyezi Mungu!

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Sote tunakushangilia Wewe, tunaimba na kucheza.

Wewe kweli ndiwe Mwokozi wetu na Bwana wa ulimwengu.

IV

Maneno ya Mungu, kama sindano ikivuta uzi.

Mambo ambavyo yamefichwa ndani yatatokea moja baada ya nyingine.

Wasiliana na Yeye, usikawie. Fikira na mawazo yatafichuliwa na Mungu.

Kuishi kila wakati, ukipata uzoefu wa hukumu,

yote mbele ya kiti cha enzi cha Kristo.

Kila sehemu ya miili yetu bado inachukuliwa kwa nguvu na Shetani.

Ili kurudisha tena mamlaka ya Mungu, lazima tutakase hekalu la Mungu sasa.

Kuchukuliwa na Mungu kikamilifu kunahitaji vita vya kufa na kupona.

Tujisulubishe wenyewe, kisha Kristo aliyefufuka, maisha Yake yanaweza kuchukua mamlaka.

Sasa Roho Mtakatifu anasonga mbele katika kila sehemu yetu, akianzisha vita!

Mradi tu tuko tayari kujitolea na kushirikiana na Mungu,

Mungu kila wakati Ataangaza mwangaza Wake kutusafisha sisi ndani

na kuwachukua tena wale walichochukuliwa na Shetani,

ili tuweze kufanywa kamili na Yeye.

Usipoteze muda wowote. Ishi ndani ya maneno ya Mungu.

Jengwa na mitume wote, letwa katika ufalme Wake

na uingie katika utukufu pamoja na Mungu.

Njooni Zayuni kwa sifa. Makao ya Mungu tayari yameonekana.

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Nyote imbeni sifa za jina Lake takatifu; linaenea.

Mwenyezi Mungu! Mtawala wa ulimwengu, Kristo wa Mwisho, jua letu linalong’aa na kuangaza,

Ameinuka kutoka Mlima mkuu wa ulimwengu Zayuni. Mwenyezi Mungu!

Njooni Zayuni Kwa Sifa.

Sote tunakushangilia Wewe, tunaimba na kucheza.

Wewe kweli ndiwe Mwokozi wetu na Bwana wa ulimwengu.

kutoka kwa "Tamko la Kwanza" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wimbo wa Ufalme (III)
Watu Wote, Pigeni Kelele za Furaha!

Inayofuata:Mwenyezi Mungu Amekuwa Akiketi katika Kiti Tukufu Cha Enzi

Unaweza Pia Kupenda