983 Kila Siku Uishiyo Sasa ni Muhimu

1 Kila siku mnayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yenu na majaliwa yenu, kwa hivyo mnapaswa kufurahia kila mlicho nacho na kila dakika inayopita. Mnapaswa kutumia muda wenu vizuri ili muweze kujinufaisha, ili msije kuishi maisha haya bure. Pengine mnajihisi kukanganyikiwa mnaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya. Kwa kweli, Sijapendezwa na matendo ya yeyote kati yenu. Kwa maana matumaini ambayo Nimekuwa nayo juu yenu si vile tu mlivyo sasa.

2 Nyinyi nyote mko hatarini kabisa. Vilio vyenu vya kwanza kwa ajili ya wokovu na matamanio yako ya kwanza ya kufuatilia ukweli na kutafuta nuru vinakaribia mwisho. Hivi ndivyo mtakavyonifidia mwishowe, ambacho ni kitu ambacho Sijawahi kutarajia. Sitamani kuzungumza kinyume cha ukweli, kwa maana mmenivunja moyo sana. Pengine hampendi kuiachia mada hapo na hutaki kuukabili ukweli, lakini ni lazima niwaulize swali hili: Kwa miaka hii yote, mioyo yenu imejawa na nini? Mioyo yenu inamwamini nani?

3 Ni kwa sababu Ninawafahamu vizuri, ninawajali sana, na Ninajitolea moyo Wangu sana kwa kile mnachofanya, ndio maana Ninawauliza kwa kurudiarudia na kubeba taabu isiyoelezeka. Hata hivyo, malipo Yangu yamekuwa ni kupuuzwa na kukataliwa kusikostahimilika. Hivyo mmekuwa na ajizi sana juu Yangu; Ninawezaje kutojua kitu kuhusu hilo? Kama mnaamini kwamba hili linawezekana, inathibitisha ukweli zaidi kwamba hamnitendei wema kabisa. Kisha Ninawaambia kwamba mnajidanganya nyinyi wenyewe. Nyinyi nyote ni werevu sana kiasi kwamba hamjui kile mnachofanya; sasa mtatumia nini ili kunipatia ufafanuzi?

Umetoholewa kutoka katika “Wewe U Mwaminifu kwa Nani?” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 982 Matokeo ya Makosa ya Mwanadamu

Inayofuata: 984 Wote Wanaotenda Maovu Ni Walengwa Adhabu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp