641 Mungu Kuwainua Wazao wa Moabu

1 Hivyo, Ninapowahukumu hivi leo, mtakuwa na kiwango kipi cha ufahamu mwishowe? Mtasema kwamba ingawa hadhi yenu haiko juu, mmefurahia kuinuliwa na Mungu. Kwa sababu mmezaliwa katika tabaka la chini, hamna hadhi, lakini mnapata hadhi kwa sababu Mungu anawainua—hiki ni kitu ambacho Aliwapa. Leo mna uwezo wa kibinafsi wa kupokea mafunzo ya Mungu, kuadibu Kwake, na hukumu Yake. Huku, hata zaidi, ni kuinuliwa na Yeye. Mnaweza kupokea utakaso na kuchomwa Kwake binafsi. Huu ni upendo mkuu wa Mungu.

2 Kupitia enzi hakujakuwa hata mtu mmoja ambaye amepokea utakaso na kuchomwa Kwake, na hakuna hata mtu mmoja ambaye ameweza kukamilishwa kwa maneno Yake. Mungu sasa Ananena nanyi ana kwa ana, Akiwatakasa, Akifichua uasi wenu wa ndani—huu kweli ni kuinuliwa na Yeye. Watu wana uwezo upi? Kama wao ni wana wa Daudi au ni uzao wa Moabu, kwa jumla, watu ni viumbe ambao hawana chochote chenye kustahili kujigamba kuhusu. Kwa kuwa nyinyi ni viumbe wa Mungu, lazima mtekeleze wajibu wa kiumbe. Hakuna mahitaji mengine kwenu.

Umetoholewa kutoka katika “Mbona Huna Hiari ya Kuwa Foili?” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 640 Umefurahia Baraka Kuu

Inayofuata: 642 Azimio Ambalo Wazawa wa Moabu Wanapaswa Kuwa Nalo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp