Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

96. Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

Tabia ya Mungu ni adhimu na ya ghadhabu.

Yeye si mwanakondoo achinjwe na yeyote.

Yeye si karagosi, linalochezewa na yeyote anavyopenda.

Wala Yeye si hewa, inayoamriwa na watu pote.

Kama kweli unaamini kuweko kwa Mungu,

unapaswa kuwa na moyo unaomwogopa Mungu.

Unapaswa kujua kwamba asili ya Mungu ni kitu ambacho hakiwezi kukosewa.

Kosa linaweza kusababishwa na neno au wazo,

mafundisho au nadharia, au shughuli fulani mbaya.

Linaweza kusababishwa na tabia fulani pole inayokubaliwa na maadili.

Lakini mara unapomkosea Mungu, umepoteza fursa yako ya kuokolewa,

na siku zako za mwisho zitakuja hivi punde.

Hiki ni kitu cha kuogofya hasa.

Kama hujui Mungu hawezi kukosewa,

huenda usimwogope, lakini utamkosea daima.

Huwezi kumwogopa Mungu kama hujui ni kwa jinsi gani,

wala uifuate njia Yake ili kumcha Mungu na kuepuka uovu.

Mara unapofahamu ndani ya moyo wako na kutambua kwamba Mungu hawezi kukiukwa,

basi utajua hasa maana ya kumcha Mungu na kuepuka uovu.

Mara unapofahamu ndani ya moyo wako na kutambua kwamba Mungu hawezi kukiukwa,

basi utajua hasa maana ya kumcha Mungu na kuepuka uovu.

Unapaswa kujua kwamba asili ya Mungu

ni kitu ambacho hakiwezi kukosewa, hakiwezi kukosewa.

Kosa linaweza kusababishwa na neno au wazo,

mafundisho au nadharia, au shughuli fulani mbaya.

Kama kweli unaamini kuweko kwa Mungu,

unapaswa kuwa na moyo unaomwogopa Mungu.

kutoka kwa "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Kutoa Ushahidi kwa Mungu Ni Wajibu wa Mwanadamu

Inayofuata:Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

Maudhui Yanayohusiana