134 Naomba Niwe na Mungu Milele

1

Hivi karibuni utarudi Sayuni, na moyo wangu unasikitika sana.

Kuna maneno mengi moyoni mwangu ninayotaka kukwambia lakini sijui nianzie wapi.

Kuna deni nyingi sana za kufidiwa, sijakulipa, na bado Unaondoka.

Nani alijua wakati ungesonga hivyo? Machozi ya majuto yanamwagika bila kukoma.

Nafurahia nyingi ya neema Yako na moyo wangu unahuzunishwa kwa kuwa sijakulipa.

Ee Mungu, Unaondoka—ningeweza vipi kukuacha Uende?

2

Nani angesahau matukio ya zamani? Ni nani angeacha uhusiano wa hisia za zamani?

Mara nyingi umekusanyika pamoja nasi kwa miaka hii mingi, maneno Yako yanatunyunyizia na kutukimu wakati wote.

Tunafichua kiburi, ugumu na uasi, Unatupogoa, kutushughulikia, kutuadibu na kutufunza nidhamu.

Umetuhukumu na kutuadibu vikali, na hivyo upotovu wetu umetakaswa.

Unatunilipa gharama kubwa sana na bado sifuatilii ukweli au kutekeleza wajibu wangu vizuri.

Natamani sana ningeweza kurudi nyuma, kujitolea kabisa Kwako na kukuridhisha.

3

Machozi yaanguka kwa kimya mashavuni mwangu kwani najua vema kuwa siwezi kukushawishi Ubaki.

Naachwa na majuto ambayo hayajawahi kupozwa, moyo wangu umejaa uchungu na majuto.

Ingawa muda tulioshinda pamoja ni mfupi, uso na sauti Yako vimechongwa moyoni mwangu.

Naifikiria sauti Yako, natamani mapenzi Yako, upendo Wako kwa mwanadamu ni wa kina na nguvu.

Zama za ajabu zimegeuka kuwa kumbukumbu, nawezaje kutosita kuiacha?

Ningewezaje kusahau mafundisho Yako ya dhati? Naweza tu kuzika hamu yangu Kwako ndani kabisa ya moyo wangu.

Sijui nitapokutana na Wewe tena, naomba niwe na Wewe milele.

Iliyotangulia: 133 Lazima Tukutane Tena Siku Moja

Inayofuata: 135 Kumtamani Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp